99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 yaanza Yichun, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 23, 2025
Shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 yaanza Yichun, China
Wasanii wakifanya maonesho ya sanaa katika shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 katika Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Mei 22, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei)

Shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 imefanyika katika Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China jana Alhamisi, Mei 22, 2025. Ukiwa tajiri wa rasilimali za misitu, Mji huo wa Yichun unajivunia anuwai ya viumbe na mandhari nzuri ya kuvutia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha