99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 9 Kimataifa ya Njia ya Hariri yaanza mjini Xi'an, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 22, 2025
Maonyesho ya 9 Kimataifa ya Njia ya Hariri yaanza mjini Xi'an, China
Mfanyakazi akionyesha namna ya kutumia kiti cha magurudumu cha kuimarisha afya ya mwili baada ya kuugua kwenye Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Njia ya Hariri na Jukwaa la Uwekezaji na Biashara la Ushirikiano kati ya maeneo ya mashariki na magharibi ya China vinavyofanyika Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Mei 21, 2025. (Xinhua/Li Yibo)

XI'AN - Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Njia ya Hariri pamoja na Jukwaa la Uwekezaji na Biashara la Ushirikiano kati ya maeneo ya mashariki na magharibi ya China vinavyofanyika Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha