99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Treni ya mizigo ya China-Asia ya Kati yafunga safari kutoka Bandari ya Tianjin kuelekea Tashkent

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 21, 2025
Treni ya mizigo ya China-Asia ya Kati yafunga safari kutoka Bandari ya Tianjin kuelekea Tashkent
Treni ya mizigo ya China-Asia ya Kati inayoelekea Tashkent kupitia Horgos ikifunga safari kutoka stesheni katika Bandari ya Tianjinkaskazini mwa China, Mei 20, 2025. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Treni ya kwanza ya mizigo ya China-Asia ya Kati kutoka Bandari ya Tianjin hadi Tashkent kupitia Horgos kwa mwaka 2025 imefunga safari kutoka Tianjin kaskazini mwa China jana Jumanne, ikipelekea kontena 52 za vipuri vya magari, zana na vifaa vya mashine, nyenzo za ujenzi na vyombo vya umeme nyumbani kwa kuelekea mji mkuu wa Uzbekistan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha