99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Treni yenye kauli mbiu?ya Sanxingdui?yaanza kufanya kazi mjini Chengdu (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2025
Treni yenye kauli mbiu?ya Sanxingdui?yaanza kufanya kazi mjini Chengdu
Abiria na wahudumu wa treni wakipiga picha ya pamoja mbele ya treni yenye kauli mbiu ya Sanxingdui inayounganisha Chengdu, eneo la mabaki ya Sanxingdui na Bonde la Jiuzhai katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Mei 18, 2025. (Kundi la Kampuni za Shirika la Reli la China Tawi la Chengdu /kupitia Xinhua)

Treni hiyo ya abiria imeondoka Chengdu mji mkuu wa Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China jana Jumapili, ikionyesha treni ya kwanza yenye kaulimbiu ya Sanxingdui kuanza kufanya.

Treni hiyo huchukua dakika 18 kufika eneo hilo la Sanxingdui na saa takriban mbili kufika Bonde la Jiuzhai, vivutio viwili maarufu vya watalii katika mkoa huo wa Sichuan. Inafanya kazi kila siku ikiwa na safari 13 za kwenda na kurudi na inatarajiwa kubeba abiria takriban 30,000 kwa siku.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha