99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Zana za Polisi ya China yafanyika Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 15, 2025
Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Zana za Polisi ya China yafanyika Beijing
Maofisa wa polisi wakifanya mazoezi ya doria kwa kutumia roboti ya umbo la mviringo, roboti binadamu, na roboti mbwa kwenye Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Zana za Polisi ya China hapa Beijing, Mei 14, 2025.(Xinhua/Cai Yang)

Maonyesho hayo yamekuwa yakifanyika Beijing kuanzia Jumatano hadi Jumamosi, yakionyesha teknolojia za kisasa na vifaa vya hali ya juu kama vile teknolojia ya upashanaji habari ya kizazi kijacho, teknolojia ya AI na raslimali mpya.

Maonyesho hayo yanayoandaliwa na Wizara ya Usalama wa Umma yamevutia makampuni ya ndani na makampuni 30 kutoka nchi 11, ikiwa ni pamoja na Marekani na Canada.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha