99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Watu?waliokimbia makazi yao nchini DRC bado wanakabiliwa na magumu wanaporejea nyumbani (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2025
Watu?waliokimbia makazi yao nchini DRC bado wanakabiliwa na magumu wanaporejea nyumbani
Picha hii iliyopigwa Mei 11, 2025 ikionyesha wakulima wanaoishi katika maeneo yanayozunguka Sake, mji mdogo ulioko umbali wa kilomita 27 kutoka Goma, mji mkuu wa Jimbo la Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). (Xinhua/Zheng Yangzi)

Wakazi wengi wa Sake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walilazimika kukimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya kundi la waasi linalojulikana kwa jina la M23. Ingawa maisha yanarudi kawaida hatua kwa hatua wanaporudi nyumbani, sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa kama vile miundombinu iliyoharibiwa na uhaba wa mahitaji muhimu ya msingi. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha