99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Ujenzi wa sehemu kuu ya Daraja la Taohe la urefu wa mita 562.16 waanza China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Ujenzi wa sehemu kuu ya Daraja la Taohe la urefu wa mita 562.16 waanza China
Picha ikionesha mfumo wa kupandisha vifaa na nyenzo za ujenzi kwa nyaya wenye uzito wa tani 500 katika Daraja la Taohe Mkoani Gansu, Kaskazini Magharibi mwa China, Mei 10, 2025. (Xinhua/Chen Bin)

Kwa majaribio yenye mafanikio katika upandishaji wa mfumo wake wa kupandisha vifaa na nyenzo za ujenzi kwa nyaya wenye uzito wa tani 500, ujenzi wa sehemu kuu ya Daraja Taohe lenye urefu wa mita 562.16, mradi muhimu kwenye Barabara Kuu ya Lanzhou-Yongjing-Linxia nchini China, umeanza rasmi juzi Jumamosi, Mei 10, 2025.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha