99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China
Mfanyakazi wa kujitolea kutoka Timu ya Uokoaji ya Blue Sky akionyesha jinsi ya kuvaa suti za uokoaji kwa wanafunzi wa shule ya msingi katika Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Mei 9, 2025. (Picha na Hao Xincheng/Xinhua)

China inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa Tarehe 12 Mei kila mwaka, ambapo shughuli mbalimbali za kutoa elimu kwa umma, kutoa mafunzo na kufanya mazoezi ya kutokea kwenye maafa zinafanywa kote nchini China ili kuongeza uelewa wa umma katika kuzuia na kujiokoa kwa njia ya kisayansi kwenye majanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha