99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Robert Francis Prevost achagualiwa?kuwa?Papa Leo XIV (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 09, 2025
Robert Francis Prevost achagualiwa?kuwa?Papa Leo XIV
Robert Francis Prevost (wa pili kushoto) akihutubia umati baada ya kuchaguliwa kuwa papa mpya katika mji wa Vatican, Mei 8, 2025. (Xinhua/Li Jing)

ROMA - Robert Francis Prevost, Kardinali wa Kanisa Katoliki la Marekani, amechaguliwa kuwa papa mpya wa Kanisa hilo katika siku ya pili ya kura za siri kwenye kongamano la Makadinali lililofanyika mjini Vatican ambapo jina alilochagua kuwa papa mpya ni Leo XIV.

Chuo cha Makardinali, chenye makadinali 133, kilianza mchakato wa upigaji kura kwa siri kumchagua papa mpya Mei 7. Papa wa awali, Francis, aliaga dunia kutokana na ugonjwa Aprili 21.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha