99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Nchi tatu za Afrika Magharibi zajiondoa rasmi ECOWAS

(CRI Online) Januari 31, 2025

Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetoa taarifa kuwa, nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi kutoka jumuiya hiyo siku ya Jumatano.

ECOWAS iliziwekea vikwazo nchi hizo tatu baada ya mapinduzi ya kijeshi kutokea katika nchi hizo.

ECOWAS ilikuwa na nchi wanachama 15 kabla ya Mali, Niger na Burkina Faso kujitoa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha