99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Simulizi ya Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2024

Tulipiga hatua zetu za kusonga mbele kutoka sehemu zisizo na njia. Kwa hivyo tukaanza kutafuta na kufungua njia yetu wenyewe.

Lengo letu ni kuhamasisha na ni kawaida. Hatimaye, ni kutoa maisha bora kwa watu.

Tumejitahidi kutwa zima. Tumepanda milima na kuvuka mipaka na kuvumilia upepo na mchanga. Njia ipo mbeleni kwetu.

Filamu hii ni maalum kwa kila mmoja anayefanya kazi kuelekea maisha bora.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha