99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya China Waitazama Shenzhen: Kung’arisha?Mji wa Siku za Baadaye” kwa Kutumia Teknolojia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 28, 2024

Mbwa roboti, droni, roboti za upasuaji… bidhaa hizi zinazoashiria teknolojia za kisasa daima zinaendana kwa usahihi na haiba na hali halisi ya kimjini ya Mji wa Shenzhen, China. Katika mji huu wa Shenzhen, inaonekana kuwa teknolojia yoyote ya kisasa inapoletwa inaweza kugeuzwa kuwa bidhaa. “Kasi ya Shenzhen”tayari imeshaishangaza dunia.

Hivi karibuni, kundi la utafiti la “Waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya China la Kuitazama Shenzhen” lilitembelea Shenzhen, likatembea katika mji huu wa sayansi, teknolojia na ubunifu, na kujionea“jeni za teknolojia” zilizomo ndani ya mji huu wa kisayansi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha