99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waziri mkuu wa Tanzania aagiza kumtafuta mwenye jengo lililoanguka ?Kariakoo

(CRI Online) Novemba 20, 2024

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta mhusika wa jengo lililoanguka Novemba 15 katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, na kusababisha vifo vya watu 16, na wengine kuokolewa kwenye vifusi.

Akizungumza jana wakati wa kuaga miili ya watu 16 waliofariki kwenye tukio hilo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Bw. Majaliwa amesema upatikanaji wa mhusika utalisaidia jeshi hilo kujua sababu za jengo kuanguka.

Aidha, Majaliwa amesema serikali inakamilisha taratibu za uchunguzi kubaini chanzo cha ghorofa hilo kuanguka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha