99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais Xi Jinping awasili Brazil kuhudhuria Mkutano wa G20 na kufanya ziara ya kiserikali

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2024

RIO DE JANEIRO - Rais wa China Xi Jinping amewasili Rio De Janeiro, Brazil jana siku ya Jumapili kwa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa Kilele wa G20 na kufanya ziara ya kiserikali nchini Brazil kutokana na mwaliko wa Rais Luiz Inacio Lula da Silva.

Rais Xi Jinping wa China akiwasili Rio de Janeiro  kwa kuhudhuria kwenye Mkutano wa 19 wa G20 na kufanya ziara ya kiserikali nchini Brazil kutokana na mwaliko wa Rais Luiz Inacio Lula da Silva, Novemba 17, 2024. (Xinhua/Ding Haitao)

Watu wakimkaribisha Rais Xi Jinping wa China  huko Rio de Janeiro, Brazil, Novemba 17, 2024. Xinhua/Li Yan)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha