99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Uzalishaji wa mwaka wa NEV wa China wazidi milioni?10

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 14, 2024

Watu wakitazama gari linalotumia nishati mpya (NEV) katika Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China mjini Beijing, mji mkuu wa China, Julai 13, 2024. (Picha/Xinhua)

Watu wakitazama gari linalotumia nishati mpya (NEV) katika Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya China mjini Beijing, mji mkuu wa China, Julai 13, 2024. (Picha/Xinhua)

Kwa mujibu wa takwimu za Jumuia ya Watengenezaji Magari ya China (CAAM), uzalishaji wa mwaka wa magari yanayotumia nishati mpya(NEVs) nchini China umepita magari milioni 10 kwa mara ya kwanza, hadi kufikia leo Alhamisi asubuhi kwa saa za Beijing.

China ni nchi ya kwanza duniani kufikia mafanikio ya uzalishaji wa mwaka wa NEVs milioni 10.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha