99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

“Uchumi wa anga ya chini” wafuatiliwa?kwenye Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2024
“Uchumi wa anga ya chini” wafuatiliwa?kwenye Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China
Mfano halisi wa sehemu ya kubeba abiria ya helikopta ya VE25-100, ambao unaonyeshwa hadharani kwa mara ya kwanza, umevutia watu kwenye bandala Kampuni ya Volant katika Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE), Novemba 5, Mwaka 2024. (Picha kutoka vip.people.com.cn)

Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa kutoka nje ya China yalifunguliwa mjini Shanghai, tarehe 5 Novemba, Mwaka 2024.Wakati huu, kampuni za usafiri wa anga ya chini kama vile Volante, TCab Tech, na VERTAXI kwa pamoja zilionekana katika eneo maalum la "Usafiri wa Anga ya Chini wa Siku za Baadaye" lililowekwa kwenye maonyesho hayo na kuvutia watu wengi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha