99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

China yatarajia safari milioni 175 za reli katika likizo ya Siku ya Taifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2024

Abiria wakiwa kwenye mstari wa kuingia kwenye Stesheni ya Reli ya Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba 29, 2024. (Xinhua/Wang Xiang)

Abiria wakiwa kwenye mstari wa kuingia kwenye Stesheni ya Reli ya Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba 29, 2024. (Xinhua/Wang Xiang)

BEIJING - Mtandao wa reli wa China unatarajiwa kusafirisha abiria milioni 175 katika siku 10 ya likizo ya Siku ya Taifa ya China, Kampuni ya Reli ya China imesema siku ya Jumapili, ambapo inakadiria kuwa wasafiri wengi zaidi watasafiri siku ya Jumanne, na kufikia watu milioni 21.

Kipindi cha pilika za safari za reli kuanzia Jumapili hadi Oktoba 8 kinatarajiwa kushuhudia mchanganyiko wa watalii, safari za familia na safari za wanafunzi, kampuni hiyo imesema.

Ili kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya abiria, hatua zitachukuliwa ili kuongeza uwezo wa usafirishaji, kuimarisha huduma, na kuhakikisha safari zenye usalama, utaratibu na za kufurahisha, imesema.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha