99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Afrika Kusini kuongeza kwa kiasi kikubwa uwekezaji kwenye miundombinu

(CRI Online) Septemba 13, 2024

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema serikali imejiandaa kuongeza kwa kiasi kikubwa kiwango cha uwekezaji kwenye miundombinu nchini humo.

Rais Ramaphosa amesema hayo mjini Cape Town kwenye mkutano wa Baraza la Juu la Bunge la Afrika Kusini. Amesema uendelezaji wa miundombinu ya kiumma ni muhimu katika utoaji wa huduma bora na maendeleo ya kiuchumi, ndiyo maana serikali imedhamiria kuongeza kwa kiasi kikubwa kiwango cha uwekezaji katika miundombinu.

Rais Ramaphosa amekiri kuwa miradi ya miundombinu ya umma ambayo imechelewa au kutelekezwa, inadhuru uwezo wa jamii kupata huduma.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha