99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Waziri wa mambo ya nje wa Zimbabwe asema ziara ya kiserikali ya rais wa Zimbabwe nchini China itaimarisha ushirikiano wa nchi mbili

(CRI Online) Septemba 12, 2024

Waziri wa mambo ya nje na biashara ya kimataifa ya Zimbabwe Frederick Shava, amesema makubaliano mbalimbali yaliyosainiwa kati ya China na Zimbabwe wakati rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe alipofanya ziara ya kiserikali nchini China kabla ya mkutano wa kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, yataimarisha ushirikiano kati ya China na Zimbabwe.

Ameeleza kuwa makubaliano ya maelewano (MoU) yaliyosainiwa kati ya nchi hizo mbili yamehusisha ushirikiano wa miundombinu, haswa ujenzi wa miundombinu katika mji mpya ulioko Mlima Hampden, na pia kuna makubaliano mengine yanayohusu kuimarisha uwezo wa Zimbabwe katika utumiaji wa nishati ya jua na ushirikiano katika kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa kichocho.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha