99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa chafunguliwa

(CRI Online) Septemba 11, 2024

Mkutano wa Baraza Kuu la 79 la Umoja wa Mataifa (UNGA) umetangazwa kufunguliwa jana Jumanne na mwenyekiti mpya wa mkutano huo Philemon Yang.

Akihutubia ufunguzi wa mkutano, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amesema Baraza Kuu ni “mahali panakotolewa masuluhisho” kwa ajili ya kukabiliana na changamoto nyingi zinazoikabili dunia sasa, na ni nyenzo ya lazima na njia muhimu ya kuelekea mustakabali wenye amani na haki kwa watu wote.

Mwenyekiti Philemon Yang ametoa wito kwenye hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano, akihimiza ushirikiano wa kimataifa ili kutatua “masuala makubwa na yasiyo na mpaka yanayotukabili”, ikiwemo mabadiliko ya tabianchi, migogoro na vurugu zinazoendelea Sudan, Haiti, Ukraine na Ukanda wa Gaza.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha