99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais Xi afanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kongo

(CRI Online) Septemba 07, 2024

(Xinhua/Yao Dawei)

(Xinhua/Yao Dawei)

Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Jamhuri ya Kongo Denis Sassou Nguesso siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na kufanya ziara nchini China.

Rais Xi ameipongeza Jamhuri ya Kongo kuwa mwenyekiti mwenza wa FOCAC.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha