99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Raia wa Israel wafanya maandamano na kutoa wito wa kusimamisha mapambano

(CRI Online) Septemba 02, 2024

Raia wengi wa Israel jana wamefanya maandamano na kuitaka serikali ya nchi hiyo ifikie makubaliano ya kusitisha mapambano na kundi la Hamas, na kuhimiza kuachiliwa huru kwa Waisrael waliofungwa kwenye Ukanda ya Gaza.

Mapema jana, Jeshi la Israel lilitangaza kugunduliwa kwa miili ya Waisrael sita waliofungwa kwenye Ukanda wa Gaza, taarifa iliyoamsha hasira ya watu nchini Israel.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha