99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Msomi wa Somalia asema FOCAC ni jukwaa muhimu zaidi kwa China na Afrika kufanya mawasiliano

(CRI Online) Agosti 29, 2024

(Picha inatoka CRI)

(Picha inatoka CRI)

Mkutano wa Viongozi wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 ambao ni muhimu kwa uhusiano kati ya pande hizo mbili, utafanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 nchini China.

Akizungumzia baraza hilo, Msomi wa Somalia Bw. Abdilahi Ismail Abdilahi amesema, FOCAC ni jukwaa muhimu zaidi kwa China na Afrika kufanya mawasiliano, kutokana na kwamba China ni mfano mzuri wa kuigwa kwa nchi zinazoendelea, na Afrika ni sehemu muhimu katika maendeleo ya dunia, na maendeleo yake yataleta ushawishi kwa mwelekeo wa dunia.

Katika mahojiano na Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG), Bw. Ismail amesema, akiwa Mwafrika, anatumai kuwa mkutano huo utaleta maendeleo na mabadiliko mengi zaidi kwa Afrika. Ametumaini kuwa, kwa kupitia mkutano huo, Somalia itafungua ukurasa mpya wa maendeleo na kuongeza ushirikiano na China katika sekta nyingi zaidi zikiwemo uchumi, biashara na usalama.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha