99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Zambia yajitahidi kufufua sekta ya madini

(CRI Online) Agosti 20, 2024

Waziri wa Madini wa Zambia Bw. Paul Kabuswe amesema mipango ya kufufua sekta ya madini imeanza kuzaa matunda na sekta hiyo sasa imefufuka.

Akiongea kwenye mahojiano na Shirika la Utangazaji la Zambia, Bw. Kabuswe amesema uchumi mzima wa Zambia uliathirika kutokana na kuporomoka kwa sekta ya madini, ambayo ni mchangiaji mkuu wa shughuli za kiuchumi.

Waziri huyo amesema, kufufuka kwa sekta ya madini kunatokana na hatua mbalimbali za uingiliaji zilizochukuliwa na Serikali katika miaka miwili iliyopita. Kwa sasa kampuni kubwa za madini zilizopanga kuondoka nchini Zambia zimeanza kuwekeza tena nchini humo, na kuleta mustakbali mzuri kwenye sekta hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha