99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kampuni ya China yawekeza katika ujenzi wa kituo kikubwa zaidi cha kuzalisha umeme kwa nishati?ya jua?nchini Botswana

(CRI Online) Agosti 14, 2024

Kampuni ya Umeme ya Botswana imesaini mkataba wa ununuzi wa umeme na Kampuni ya Sinotswana Green Energy, na kuanza rasmi ujenzi wa kituo cha kwanza cha kuzalisha umeme wa nishati ya jua chenye uwezo wa megawati 100 nchini Botswana.

Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo, Rais wa Botswana Mokgweetsi Masisi amesema huu ni mradi muhimu wa Botswana unaoendana na malengo ya sera za nishati ya nchi hiyo ambayo yanaweza kuzalisha nishati himilivu, ya kuaminika na ya kutosha kwa maendeleo endelevu.

Konsuli wa mambo ya uchumi katika Ubalozi wa China nchini Botswana Lan yuqiang amesema, China iko tayari kubadilishana uzoefu wa kuendeleza nishati ya kijani na Botswana, na kuhamasisha kampuni nyingi zaidi za China kuwekeza katika sekta ya nishati mpya nchini Botswana.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha