99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Niger yatangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine “mara moja”

(CRI Online) Agosti 07, 2024

Msemaji wa serikali ya kijeshi ya Niger Amadou Abdramane Jumanne ametangaza kupitia televisheni ya kitaifa akisema, Niger itavunja uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine “mara moja”.

Kwenye taarifa yake amesema, wanachukua hatua hiyo kutokana na kitendo cha Ukraine cha “kuunga mkono makundi ya kigaidi”, na kutoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya uamuzi juu ya “uvamizi” wa Ukraine.

Siku mbili zilizopita, serikali ya mpito ya Mali ilitangaza kuwa itavunja uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine “mara moja”, kwa kuwa Ukraine imekubali kushiriki kwenye vitendo vya uvamizi dhidi ya Mali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha