99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mkutano wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya CPC wafunguliwa

(CRI Online) Julai 15, 2024

Mkutano wa tatu wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefunguliwa leo hapa Beijing.

Katika mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China kwa niaba ya Ofisi ya Siasa ya Kamati hiyo ametoa ripoti ya kazi, na kutoa ufafanuzi wa Maamuzi ya Kukuza zaidi Mageuzi, na Kuhimiza Utimizaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya China katika Pande zote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha