99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

“Karibu rafiki mheshimiwa kutoka China!” Bendera ya taifa ya China na Mabango ya Makaribisho yatundikwa sehemu nyingi za Serbia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2024

Wakati siku ya kuwasili kwa Rais Xi Jinping wa China nchini Serbia inapokaribia, bendera ya taifa ya China na mabango makubwa yenye maneno ya lugha ya Kichina ya “Karibu kwa mikono miwili Rafiki Mheshimiwa kutoka China!” yametundikwa kando za barabara na kwenye majengo mbalimbali huko Beograd, Mji Mkuu wa Serbia. Wakazi wa mji huo walisema kuwa, wanatumai rafiki kutoka China atahisi ukarimu wao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha