99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwakilishi wa Xi kuhudhuria mazishi ya kitaifa ya hayati rais wa Namibia

(CRI Online) Februari 23, 2024

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Mao Ning ametangaza siku ya Alhamisi kuwa Mwakilishi Maalum wa Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China Jiang Zuojun amesafiri kwenda Namibia Februari 22 kuhudhuria mazishi ya kitaifa ya hayati Rais wa Namibia Hage Geingob huko Windhoek.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha