99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Tanzania, Cuba zasaini makubaliano kuboresha sekta ya afya, elimu

(CRI Online) Januari 26, 2024

Serikali ya Tanzania na Cuba zimesaini hati mbili za makubaliano na kukubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano wao katika sekta za afya, elimu, kilimo na kuendelea kuboresha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi.

Hati hizo ni makubaliano ya Chuo Cha Artemisia Dius Gonzales Cha Cuba na Chuo Cha Kilimo Cha Sokoine, na hati ya makubaliano kati ya Kituo cha tiba cha Cuba (CECMED) na Mamlaka ya Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), katika kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya kiwanda cha dawa za malaria kilichopo Kibaha na kuzalisha dawa nyingi za binadamu na za kuua wadudu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha