99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na China ni chaguo sahihi lililofanywa na Nauru

(CRI Online) Januari 19, 2024

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bi. Mao Ning amesema Nauru kutambua kanuni ya kuwepo kwa China moja, kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Taiwan na kutafuta kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na China ni uamuzi wa pamoja wa baraza la mawaziri la Nauru na ni chaguo sahihi lililofanywa na Nauru kama nchi huru.

Bi. Mao amesema hayo kwenye mkutano na wanahabari akizungumzia kuhusu Nauru kuvunja kwa ghafla uhusiano wa kidiplomasia na Taiwan.

Bi. Mao amedokeza kuwa Jumanne bunge la Nauru lilipitisha azimio kwa kauli moja, kuunga mkono na kuthibitisha uamuzi wa serikali ya Nauru wa kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na China, kwa mara nyingine tena inaonyesha kwamba kanuni ya kuwepo kwa China moja ni mwelekeo wa maoni ya jumuiya ya kimataifa.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha