99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais wa China asema mafanikio ya uhusiano wa China na Marekani yanatokana na juhudi za pamoja za watu wa nchi hizo

(CRI Online) Januari 11, 2024

Rais wa China Xi Jinping amesema, mafanikio ya uhusiano kati ya China na Marekani yanatokana na juhudi za pamoja za watu wa nchi hizo mbili.

Rais Xi amesema hayo alipojibu barua ya rafiki yake anayeitwa Sarah Lande anayeishi katika Jimbo la Iowa nchini Marekani.

Amesema hatma ya sayari hii inahitaji utulivu na maboresho ya uhusiano kati ya China na Marekani, kwani China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na Marekani ni nchi kubwa zaidi iliyoendelea duniani.

Pia Rais Xi amesema, China iko tayari kufanya kazi na Marekani ili kuendeleza maendeleo endelevu ya uhusiano wa pande mbili.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha