99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Rais wa China asifu uhusiano wa China na Russia

(CRI Online) Oktoba 19, 2023

Rais wa China Xi Jinping amesifu uhusiano kati ya nchi yake na Russia wakati alipofanya mazungumzo na Rais wa Russia, Vladmir Putin siku ya Jumatano mjini Beijing.

Rais Xi amesema, kuaminiana kisiasa kati ya nchi hizo mbili kunaendelea kuimarika, na kwamba nchi hizo mbili zimedumisha uratibu wa kimkakati wa karibu na wa kufaa.

Pia amesema thamani ya biashara kati ya nchi hizo imefikia kiwango cha juu katika historia na inaendelea kufikia lengo la dola za kimarekani bilioni 200 lililowekwa na pande hizo.

Kwa upande wake, Rais Putin amesema Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja linatambulika kama bidhaa ya umma ya kimataifa, na ameeleza matumaini yake kuwa nchi nyingi zaidi zitajiunga na Pendekezo hilo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha