99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Video: Ofisa wa Umoja wa Mataifa asema Jukwaa la Nishan juu ya Ustaarabu wa Dunia ni zawadi kwa dunia nzima

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023

Siku hizi Jeffrey Sachs, rais wa mtandao wa utatuzi wa Maendeleo Endelevu wa Umoja wa Mataifa alipohojiwa kuhusu Jukwaa la Nishan juu ya Ustaarabu wa Dunia lililofanyika huko Qufu, China alisema kuwa, jukwaa hilo ni jambo jema sana. Kwa kweli ni zawadi kwa Dunia nzima. Kwa sababu linaleta pamoja watu kutoka duniani kote kujifunza kuhusu Confucius na kujifunza kuhusu mila nyingine na watu wengine wenye hekima wa kale. Kwa kujifunza huku tunaweza kusaidia kuishi kwa mapatano katika Dunia leo, kwa hivyo anashukuru sana Jukwaa la Nishan.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha