99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 130 wathibitisha kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Baraza la tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2023

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Wang Wenbin amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari Jumanne, tarehe 26 kuwa, maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Baraza la tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda MMoja, Njia Moja” yanaendelea. Hadi hivi sasa, wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 130 wamethibitisha kuhudhuria baraza hilo, na vile vile wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa.

Wang amesema, upande wa China utadumisha mawasiliano na washirika wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” juu ya maandalizi ya mkutano wa baraza hilo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha