99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Serikali ya Mkoa wa Heilongjiang, China?yachunguza kikamilifu ajali ya kuanguka kwa paa la ukumbi wa michezo mjini Qiqihar

(CRI Online) Julai 25, 2023

Ofisi ya habari ya serikali ya Mji wa Qiqihar, katika Mkoa wa Heilongjiang nchini China imetoa ufafanuzi kuhusu ajali ya kuanguka kwa paa la ukumbi wa michezo katika Shule ya Sekondari Namba 34 katika mji huo.

Kwa mujibu wa Meya wa mji huo Bw. Shen Hongyu, watu 11 wamefariki katika ajali hiyo iliyotokea Jumapili, wakiwemo walimu na wanafunzi.

Serikali ya Mkoa wa Heilongjiang imeunda timu ya pamoja ya uchunguzi, ambayo itachunguza kwa kina kujua chanzo cha ajali hiyo, na kuwajibisha wahusika kwa mujibu wa sheria.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha