99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Mwelekeo mzuri wa uchumi wa China hautabadilika

(CRI Online) Julai 18, 2023

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bi. Mao Ning Jumatatu amesema, hali ya msingi wa uchumi wa China wenye mwelekeo mzuri kwa muda mrefu haijabadilika, na kwamba Pato la Taifa la China (GDP) katika nusu ya kwanza ya mwaka huu liliongezeka kwa asilimia 5.5 ikilinganishwa na kiwango cha wakati kama huo mwaka jana.

Akizungumzia athari ya uchumi wa China kwa sera ya diplomasia, Bi. Mao amesema siku zote China inafanya ushirikiano wa kirafiki pamoja na nchi mbalimbali juu ya msingi wa kuheshimiana, usawa na kunufaishana. Amesema China inaitaka Marekani ihimize uhusiano kati yake na China urudi kwenye njia tulivu ya maendeleo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha