99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Maua ya kipekee ya peony yalindwa na walinzi wenye?mapanga kwa masaa 24 kwa siku huko Luoyang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2023

Maua ya kipekee ya peony yanayoitwa "Yinsiguanding" yamechanua kikamilifu katika Bustani ya Mimea ya Masalio ya Mji Mkuu wa Enzi za Sui na Tang huko Luoyang, Mkoa wa Henan wa China hivi karibuni, na yanavutia watalii wengi.

Bustani hiyo imewapa majukumu walinzi wengi wanaovalia mavazi ya kale wakiwa na mapanga ili kulinda maua ya peony na kuweka utaratibu kwa zamu ya masaa 24 kwa siku. Watalii watagawanywa katika vikundi vya watu watano, na kila kikundi kinaruhusiwa kutazama maua hayo kwa sekunde 30 tu.

Maua ya peony ya aina hiyo huchanua kwa siku 10.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha