99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Iran yasema kurejeshwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati yake na Saudi Arabia kutaleta manufaa katika ushirikiano wa kikanda

(CRI Online) April 11, 2023

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Bw. Nasser Kanaani amesema, kurejeshwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Iran na Saudi Arabia kutakuwa na manufaa makubwa katika ushirikiano wa kikanda, jambo ambalo litasaidia kupatikana amani, utulivu na usalama katika eneo hilo.

Bw. Kanaani pia amesema, makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia kuhusu kurejesha kawaida uhusiano wa kidiplomasia yamepata majibu chanya katika eneo hilo, na pia yamepongezwa katika ngazi ya kimataifa.

Ameongeza kuwa, kurejeshwa kawaida kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili pia kutakuwa na mchango katika kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya nchi za kikanda, zikiwemo nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha