99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Benki ya Dunia yaiweka Tanzania katika nafasi ya juu kwenye mageuzi ya kidijitali ya sekta ya umma

(CRI Online) April 07, 2023

Tanzania ni miongoni mwa nchi nne za Afrika zilizojumuishwa katika kundi la mataifa 69 yaliyoteuliwa kuwa viongozi duniani katika mageuzi ya kidijitali kwenye sekta ya umma, uamuzi ambao umepokelewa vyema na waangalizi.

Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya 2022 ya ‘Government Tech Maturity Index (GTMI)’, nchi nyingine za Afrika kwenye orodha hiyo ni pamoja na Cape Verde, Misri na Uganda.

Pamoja na nchi nyingine 68 kati ya 198 zilizochambuliwa, Tanzania imewekwa katika kundi A, ambalo limeainishwa kama viongozi ambao wamekuwa wakitumia ufumbuzi wa kidijitali wa hali ya juu au wa kibunifu na kuonesha ufanisi mzuri katika maeneo yote manne ya mageuzi ya kidijitali.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha