Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron awasili Beijing kwa ziara ya kiserikali
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 06, 2023
![]() |
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing, China, Aprili 5, 2023. Kutokana na mwaliko wa Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewasili Beijing Jumatano alasiri kwa kufanya ziara ya kiserikali nchini China hadi Ijumaa. (Xinhua/Liu Bin) |
Beijing – Kutokana na mwaliko wa Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewasili Beijing Jumatano alasiri kwa kufanya ziara ya kiserikali nchini China hadi Ijumaa.
Rais Macron pia atatembelea Guangzhou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma