99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Xi Jinping kufanya ziara ya kiserikali nchini Russia

(CRI Online) Machi 20, 2023

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying tarehe 17 alitangaza kuwa kufuatia mwaliko wa Rais Vladimir Putin wa Russia, Rais Xi Jinping wa China atafanya ziara ya kiserikali nchini Russia kuanzia Tarehe 20 hadi 22.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha