99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kamati Kuu ya 20 ya CPC yaanza Mkutano wa pili wa wajumbe wote Beijing

(CRI Online) Februari 27, 2023

Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomusti cha China (CPC) imeanza mkutano wa pili wa wajumbe wote Jumapili mchana hapa mjini Beijing.

Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya CPC, Xi Jinping aliwasilisha ripoti ya kazi kwa niaba ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu. Mkutano wa Pili wa wajumbe wote wa Kamati Kuu ya Chama utapitia mpango wa rasimu ya mageuzi ya taasisi za chama na serikali, na Ofisi ya Siasa itapendekeza orodha ya majina ya wagombea wa nafasi za uongozi za taasisi za serikali yatakayowasilishwa kwenye Mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China na wagombea wa nafasi za uongozi za Baraza la Mashauriano ya Kisiasa ya China (CPPCC) kwenye mkutano wa kwanza wa Baraza la14 la CPPCC.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha