99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kujenga “Ukanda Mmoja, Njia moja”, Kufanya Ushirikiano wa Kunufaishana Sehemu ya 3: Maendeleo ya Kutegemea Akili Yaleta Fursa Mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 21, 2023

Unapofikiri “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, utapata nini kichwani? Video hii inajulisha miradi kadhaa ya kutekelezwa kwa kutegemea akili inayofanywa chini ya ujenzi wa “Ukanda Mmoja, Njia moja”, miradi hiyo inabuni fursa mpya kwa makampuni ya China, makampuni ya nchi za nje nchini China,na makampuni ya China kuanzisha shughuli zao katika nchi za nje. Video hii inakueleza haraka na kikamilifu jinsi makampuni hayo inavyotafuta fursa ya kujiboresha na kubadilisha muundo wa shughuli zao, na kunufaika na mafanikio yao kwa pamoja.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha