China na jumuiya ya kimataifa zabadilishana taarifa kuhusu COVID-19 kwa msimamo wazi
(CRI Online) Januari 06, 2023
(Picha inatoka tovuti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya China.)
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bi. Mao Ning jana amesema, tangu mlipuko wa janga la COVID-19 ulipotokea, China na jumuiya ya kimataifa zimekuwa zikibadilishana habari na takwimu husika za janga hilo kwa msimamo wazi, na kutoa mchango muhimu kwa utengenezaji wa chanjo na dawa husika kwa nchi mbalimbali.
Vilevile amesema, kutokana na marekebisho ya sera ya kukinga na kudhibiti janga nchini China, China itaendelea na mawasiliano ya kiufundi na Shirika la Afya Duniani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma