Rais wa Cuba kufanya ziara nchini China kuanzia tarehe 24 hadi 26, Novemba
(CRI Online) Novemba 22, 2022
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying leo ametangaza kuwa, katibu wa kwanza wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Cuba ambaye pia ni rais wa Cuba Miguel Diaz-Canel atafanya ziara ya kiserikali nchini China kuanzia tarehe 24 hadi 26, Novemba kutokana na mwaliko wa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC na rais wa China Xi Jinping.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma