

Lugha Nyingine
Mlipuko wa kombora nchini Poland wasababisha vifo vya watu wawili
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2022
Tarehe 15, Novemba kwa saa za Poland, vyombo mbalimbali vya habari vya nchi hiyo viliripoti kuwa, mlipuko wa kombora ulitokea nchini Poland, na kusababisha vifo vya watu wawili.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma