99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Renminbi yawa fedha za nne zinazotumika zaidi duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2022

Benki ya Umma ya China juzijuzi ilitoa “Ripoti ya kutumika kwa fedha za Renminbi duniani mwaka 2022”, ambayo inaonesha kuwa, sehemu ya malipo ya kimataifa ya fedha za Renminbi imeongezeka hadi asilimia 2.7 katika mwezi Desemba, 2021, na fedha hizo za China zimezidi fedha za Yen za Japan, zikawa fedha za nne duniani zinazotumika katika malipo ya kimataifa. Na mwezi Januari mwaka huu, sehemu ya malipo ya kimatiafa ya fedha za Renminbi iliongezeka hadi asilimia 3.2 ambayo ni rekodi mpya ya juu zaidi ya kihistoria.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha