99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kulala usiku chini ya “bahari” pamoja na Papa Nyangumi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 31, 2022
Kulala usiku chini ya “bahari” pamoja na Papa Nyangumi
Usiku wa Agosti 27, 2022, watalii wakitazama papa nyangumi katika Bustani ya Bahari ya Changlong huko Zhuhai, Mkoa wa Guangdong. Bustani ya Bahari ya Changlong huko Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, imetoa huduma ya kupiga kambi usiku kwenye jumba la papa nyangumi. Watalii wanaweza kulala ndani ya mahema huko na kufuatilia kwa karibu viumbe hao wakubwa. Kwa kuongozwa na wafanyakazi, watu pia wanaweza kufahamishwa ujuzi zaidi kuhusu papa nyangumi, ambaye ni wa aina ya samaki mkubwa zaidi duniani. (Xinhua/Liu Dawei)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha