99久久国产综合色|国产精品,日韩AV一级特黄无码人妻,91在线视频无码,国产网站久章草在线视频

Kuteleza kwenye theluji kama kuruka katika jumba jipya la Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 02, 2021

Uwanja wa “BIG AIR” ya Shougang utafunguliwa jumatano wiki hii kwenye Bustani ya Shougang ya Beijing. (ChinaDaily/Gao Zehong)

Jumba jipya la kipekee la kuteleza kwenye theluji la Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 litawawezesha wanamichezo kuhisi kama kufanya urukaji.

Jumba hilo, ambalo linaitwa “BIG AIR” ya Shougang, liko kwenye Bustani ya Shougang ya magharibi mwa Beijing. Baada ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi, litaendelea kuwepo huko kama urithi muhimu wa michezo hiyo, na kufunguliwa kwa umma kama Bustani ya Michezo ya kujiburudisha pamoja na majengo mengine ya pembezoni.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha